Al-Muuminun 23:48 فكذبوهما فكانوا من المهلكين ٤٨
فَكَذَّبُوهُمَا
فَكَانُواْ
مِنَ
ٱلۡمُهۡلَكِينَ
٤٨
Basi wakawakanusha, na wakawa miongoni mwa walio angamizwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi wakawakanusha katika yale waliyokuja nayo, wakawa ni wenye kuangamizwa kwa kuzamishwa baharini.