Al-Muuminun 23:55 ايحسبون انما نمدهم به من مال وبنين ٥٥
أَيَحۡسَبُونَ
أَنَّمَا
نُمِدُّهُم
بِهِۦ
مِن
مَّالٖ
وَبَنِينَ
٥٥
Je! Wanadhani ya kuwa kwa vile tunavyo wapa mali na watoto 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani wanadhani hawa makafiri kwamba yale tunayowapa ya mali na watoto ulimwenguni ni mazuri waliyoharakishiwa na kwamba wao wanastahiki hayo?