Al-Muuminun 23:61 اولايك يسارعون في الخيرات وهم لها سابقون ٦١
أُوْلَٰٓئِكَ
يُسَٰرِعُونَ
فِي
ٱلۡخَيۡرَٰتِ
وَهُمۡ
لَهَا
سَٰبِقُونَ
٦١
Basi wote hao ndio wanao kimbilia katika mambo ya kheri, na ndio watakao tangulia kuyafikia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hao wanaojibidiisha kutii, dasturi yao ni kukimbilia kufanya kila kitendo chema, na wao kwa kuyaendea mambo mema ni wenye kutangulia.