Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Muuminun 23:65

23:65
لا تجاروا اليوم انكم منا لا تنصرون ٦٥
لَا تَجْـَٔرُوا۟ ٱلْيَوْمَ ۖ إِنَّكُم مِّنَّا لَا تُنصَرُونَ ٦٥
لَا
تَجۡـَٔرُواْ
ٱلۡيَوۡمَۖ
إِنَّكُم
مِّنَّا
لَا
تُنصَرُونَ
٦٥
Msiyayatike leo! Hakika nyinyi hamtanusurika nasi. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na hapo waambiwe, «Msipige kelele wala msiombe kuokolewa leo! Nyinyi hamuwezi kuziokoa nafsi zenu, na hakuna yoyote atakayewaokoa na adhabu ya Mwenyezi Mungu.