Al-Muuminun 23:73 وانك لتدعوهم الى صراط مستقيم ٧٣
وَإِنَّكَ
لَتَدۡعُوهُمۡ
إِلَىٰ
صِرَٰطٖ
مُّسۡتَقِيمٖ
٧٣
Na kwa yakini wewe unawaita kwenye Njia Iliyo Nyooka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwa hakika wewe, ewe Mtume, unawalingania watu wako na wengineo kwenye Dini iliyolingana sawa, nayo ni Dini ya Uislamu.