Al-Muuminun 23:77 حتى اذا فتحنا عليهم بابا ذا عذاب شديد اذا هم فيه مبلسون ٧٧
حَتَّىٰٓ
إِذَا
فَتَحۡنَا
عَلَيۡهِم
بَابٗا
ذَا
عَذَابٖ
شَدِيدٍ
إِذَا
هُمۡ
فِيهِ
مُبۡلِسُونَ
٧٧
Mpaka tulipo wafungulia mlango wa adhabu kali, hapo ndipo wakawa wenye kukata tamaa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mpaka tulipowafungulia juu yao mlango wa adhabu kali huko Akhera, wakitahamaki wamo ndani yake, wamekata tamaa kupata kheri yoyote, wamechanganyikiwa hawajui wafanye nini.
Mpaka tulipowafungulia juu yao mlango wa adhabu kali huko Akhera, wakitahamaki wamo ndani yake, wamekata tamaa kupata kheri yoyote, wamechanganyikiwa …