Al-Muuminun 23:80 وهو الذي يحيي ويميت وله اختلاف الليل والنهار افلا تعقلون ٨٠
وَهُوَ
ٱلَّذِي
يُحۡيِۦ
وَيُمِيتُ
وَلَهُ
ٱخۡتِلَٰفُ
ٱلَّيۡلِ
وَٱلنَّهَارِۚ
أَفَلَا
تَعۡقِلُونَ
٨٠
Na Yeye ndiye anaye huisha na kufisha, na yake Yeye mabadiliko ya usiku na mchana. Basi je! Hamfahamu? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Yeye , Peke Yake, Ndiye Anayehuisha kutoka katia hali ya kutokuweko, na Ndiye Atakayefisha baada ya uhai. Na ni kwake Yeye kufuatana usiku na mchana na pia kupishana. Basi hamuuweki akilini mwenu uweza Wake na upweke Wake?
Na Yeye , Peke Yake, Ndiye Anayehuisha kutoka katia hali ya kutokuweko, na Ndiye Atakayefisha baada ya uhai. Na ni kwake Yeye kufuatana usiku na mchan…