Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Muuminun 23:90

23:90
بل اتيناهم بالحق وانهم لكاذبون ٩٠
بَلْ أَتَيْنَـٰهُم بِٱلْحَقِّ وَإِنَّهُمْ لَكَـٰذِبُونَ ٩٠
بَلۡ
أَتَيۡنَٰهُم
بِٱلۡحَقِّ
وَإِنَّهُمۡ
لَكَٰذِبُونَ
٩٠
Bali tumewaletea Haki, na kwa yakini hao ni waongo. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Ilivyo ni kwamba tumewaletea wakanushaji hawa ukweli wa yale tuliyompeleka kwayo Mtume Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie. Na kwa hakika wao ni warongo kwenye ushirikina wao na ukanushaji wao kufufuliwa.