Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Muuminun 23:96

23:96
ادفع بالتي هي احسن السيية نحن اعلم بما يصفون ٩٦
ٱدْفَعْ بِٱلَّتِى هِىَ أَحْسَنُ ٱلسَّيِّئَةَ ۚ نَحْنُ أَعْلَمُ بِمَا يَصِفُونَ ٩٦
ٱدۡفَعۡ
بِٱلَّتِي
هِيَ
أَحۡسَنُ
ٱلسَّيِّئَةَۚ
نَحۡنُ
أَعۡلَمُ
بِمَا
يَصِفُونَ
٩٦
Kinga maovu kwa kutenda yaliyo mema zaidi. Sisi tunajua wayasemayo. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Pindi wanapokufanyia ubaya maadui zako, ewe Mtume, kwa maneno au vitendo, basi usiwalipe ubaya, lakini uondoshe ubaya wao kwa kuwafanyia wema. Sisi tunayajua mno yale wanayokubandika washirikina ya sifa za ushirikina na kukukanusha, na Atawalipa kwa hayo malipo maovu mno.