Al-Muuminun 23:97 وقل رب اعوذ بك من همزات الشياطين ٩٧
وَقُل
رَّبِّ
أَعُوذُ
بِكَ
مِنۡ
هَمَزَٰتِ
ٱلشَّيَٰطِينِ
٩٧
Na sema: Mola wangu Mlezi! Najikinga kwako na wasiwasi wa mashet'ani. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na useme, ewe Nabii, «Mola wangu! Najilinda kwako na upotezaji wa Mashetani unaoupelekea kwenye ubatilifu na uharibifu na kuzuia watu wasiifuate haki.