Al-Muzzammil 73:14 يوم ترجف الارض والجبال وكانت الجبال كثيبا مهيلا ١٤
يَوۡمَ
تَرۡجُفُ
ٱلۡأَرۡضُ
وَٱلۡجِبَالُ
وَكَانَتِ
ٱلۡجِبَالُ
كَثِيبٗا
مَّهِيلًا
١٤
Siku ambayo ardhi itatikiswa na milima pia, na milima itakuwa kama tifutifu la mchanga. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Siku itakapotikisika na kusukikasukika ardhi na majabali mpaka majabali yawe mlima wa mchanga wenye kutiririka na kupeperuka, baada ya kuwa kwenye hali ya ugumu na ukavu.
Siku itakapotikisika na kusukikasukika ardhi na majabali mpaka majabali yawe mlima wa mchanga wenye kutiririka na kupeperuka, baada ya kuwa kwenye hal…