Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Qadr 97:1

97:1
انا انزلناه في ليلة القدر ١
إِنَّآ أَنزَلْنَـٰهُ فِى لَيْلَةِ ٱلْقَدْرِ ١
إِنَّآ
أَنزَلۡنَٰهُ
فِي
لَيۡلَةِ
ٱلۡقَدۡرِ
١
Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika Laylatul Qadri, Usiku wa Cheo Kitukufu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Sisi Tumeiteremsha Qur’ani katika usiku wa cheo na utukufu , nao ni moja wa masiku ya mwezi wa Ramdhani.