Al-Qalam 68:1 ن والقلم وما يسطرون ١
نٓۚ
وَٱلۡقَلَمِ
وَمَا
يَسۡطُرُونَ
١
Nuun. Naapa kwa kalamu na yale wayaandikayo! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Nūn» Yametangulia maelezo kuhusu herufi zilizokatwakatwa na kutengwa mwanzo wa sura ya Al-Baqarah.