Al-Qalam 68:10 ولا تطع كل حلاف مهين ١٠
وَلَا
تُطِعۡ
كُلَّ
حَلَّافٖ
مَّهِينٍ
١٠
Wala usimt'ii kila mwingi wa kuapa wa kudharauliwa, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Usimkubalie, ewe Mtume, kila mtu mweye kuapa mayamini sana,