Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Qalam 68:13

68:13
عتل بعد ذالك زنيم ١٣
عُتُلٍّۭ بَعْدَ ذَٰلِكَ زَنِيمٍ ١٣
عُتُلِّۭ
بَعۡدَ
ذَٰلِكَ
زَنِيمٍ
١٣
Mkavu, na juu ya hayo, mshari, amejipachika tu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
mshupavu katika ukafiri wake, mchafu na muovu na anayenasibishwa na baba asiye wake.