Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Qalam 68:25

68:25
وغدوا على حرد قادرين ٢٥
وَغَدَوْا۟ عَلَىٰ حَرْدٍۢ قَـٰدِرِينَ ٢٥
وَغَدَوۡاْ
عَلَىٰ
حَرۡدٖ
قَٰدِرِينَ
٢٥
Na walikwenda asubuhi, nao wameshikilia azimio hilo. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Wakaenda kipindi cha mwanzo wa mchana kuelekea kwenye shamba lao wakiwa na lengo baya la kuwanyima masikini matunda ya shamba, wakiwa wana uwezo kamili wa kulitekeleza hilo kulingana na madai yao.