Al-Qalam 68:31 قالوا يا ويلنا انا كنا طاغين ٣١
قَالُواْ
يَٰوَيۡلَنَآ
إِنَّا
كُنَّا
طَٰغِينَ
٣١
Wakasema: Ole wetu! Tulikuwa tumeikiuka mipaka! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
wakasema, «Ewe ole wetu! Sisi tulikuwa tumekiuka mpaka kwa kuwanyima masikini na kuenda kinyume na amri ya Mwenyezi Mungu.