Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
068

Al-Qalam 68:38 ان لكم فيه لما تخيرون ٣٨

68:38
إِنَّ
لَكُمۡ
فِيهِ
لَمَا
تَخَيَّرُونَ
٣٨
Kuwa mtapata humo mnayo yapenda? 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Hivyo basi nyinyi ndani ya kitabu hiki mna kila mnachokitamani. Basi hilo nyinyi hamnalo.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 68, Ukurasa 565, Juzuu 29

34. Hakika wachamngu watakuwa na Bustani za neema kwa Mola wao Mlezi. 35. Kwani tutawafanya Waislamu kama wakosefu? 36. Mna nini? Mnahukumu vipi? 37. Au mnacho kitabu ambacho ndani yake mnasoma? 38. Kuwa mtapata humo mnayo yapenda? 39. Au mnazo ahadi za viapo juu yetu za kufika Siku ya Kiyama ya kuwa hakika mtapata kila mnayo jihukumia? 40. Waulize: Ni nani miongoni mwao dhamini wa haya? 41. Au wanao washirika? Basi wawalete washirika wao wakiwa wanasema kweli. 42. Siku utakapo wekwa wazi mundi, na wataitwa kusujudu, lakini hawataweza, 43. Macho yao yatainama chini, fedheha itawafunika. Na hakika walikuwa wakiitwa wasujudu walipo kuwa wazima 44. Basi niache na wanao kadhibisha maneno haya! Tutawavutia kidogo kidogo kwa mahali wasipo pajua. 45. Na ninawapururia muhula; hakika hila zangu ni imara. 46. Au unawaomba ujira, na wao wanaemewa na gharama hiyo? 47. Au iko kwao siri, basi wao wanaiandika?

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia