Al-Qalam 68:40 سلهم ايهم بذالك زعيم ٤٠
سَلۡهُمۡ
أَيُّهُم
بِذَٰلِكَ
زَعِيمٌ
٤٠
Waulize: Ni nani miongoni mwao dhamini wa haya? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Waulize washirikina, ewe Mtume, «Ni yupi katika wao anayeichukulia hukumu hiyo dhamana na ahadi kwamba atayapata hayo?»