Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Qamar 54:12

54:12
وفجرنا الارض عيونا فالتقى الماء على امر قد قدر ١٢
وَفَجَّرْنَا ٱلْأَرْضَ عُيُونًۭا فَٱلْتَقَى ٱلْمَآءُ عَلَىٰٓ أَمْرٍۢ قَدْ قُدِرَ ١٢
وَفَجَّرۡنَا
ٱلۡأَرۡضَ
عُيُونٗا
فَٱلۡتَقَى
ٱلۡمَآءُ
عَلَىٰٓ
أَمۡرٖ
قَدۡ
قُدِرَ
١٢
Na tukazipasua ardhi kwa chemchem, yakakutana maji kwa jambo lilio kadiriwa. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
na tukapasua ardhi tukatoa chemchemi za maji yanayotoka kwa kasi, yakakutana maji ya mbinguni na maji ya ardhini kuwaangamiza wao kwa vile Alivyowakadiria mwenyezi Mungu, yakiwa ni malipo ya ushirikina wao.