Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Qamar 54:16

54:16
فكيف كان عذابي ونذر ١٦
فَكَيْفَ كَانَ عَذَابِى وَنُذُرِ ١٦
فَكَيۡفَ
كَانَ
عَذَابِي
وَنُذُرِ
١٦
Basi ilikuwaje adhabu yangu, na maonyo yangu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
basi je kuna wakuwaidhika awaidhike? Na ilikuwa vipi adhabu yangu na maonyo yangu kwa aliyenikufuru mimi, akawakanusha Mitume wangu na asiwaidhike kwa walichokuja nacho? Hakika hiyo ilikuwa kubwa yenye uchungu.