Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Qamar 54:39

54:39
فذوقوا عذابي ونذر ٣٩
فَذُوقُوا۟ عَذَابِى وَنُذُرِ ٣٩
فَذُوقُواْ
عَذَابِي
وَنُذُرِ
٣٩
Basi onjeni adhabu na maonyo yangu!< 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
na wakaambiwa, «Onjeni adhabu yangu niliyowateremshia nyinyi kwa sababu ya ukafiri wenu na ukanushaji wenu onyo langu alilowaonya nalo Lūṭ, amani imshukie.