Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Qamar 54:4

54:4
ولقد جاءهم من الانباء ما فيه مزدجر ٤
وَلَقَدْ جَآءَهُم مِّنَ ٱلْأَنۢبَآءِ مَا فِيهِ مُزْدَجَرٌ ٤
وَلَقَدۡ
جَآءَهُم
مِّنَ
ٱلۡأَنۢبَآءِ
مَا
فِيهِ
مُزۡدَجَرٌ
٤
Na bila ya shaka zimewajia khabari zenye makaripio. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na hakika ziliwajia makafiri wa Kikureshi habari za ummah waliokanusha mitume wao na adhabu iliyowashukia zinazotosha kuwakemea na kuwafanya warudi nyuma waache ukafiri wao na upotevu wao.