Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Qamar 54:43

54:43
اكفاركم خير من اولايكم ام لكم براءة في الزبر ٤٣
أَكُفَّارُكُمْ خَيْرٌۭ مِّنْ أُو۟لَـٰٓئِكُمْ أَمْ لَكُم بَرَآءَةٌۭ فِى ٱلزُّبُرِ ٤٣
أَكُفَّارُكُمۡ
خَيۡرٞ
مِّنۡ
أُوْلَٰٓئِكُمۡ
أَمۡ
لَكُم
بَرَآءَةٞ
فِي
ٱلزُّبُرِ
٤٣
Je! Makafiri wenu ni bora kuliko hao, au yameandikwa vitabuni kuwa nyinyi hamtiwi makosani? 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Je makafiri wenu, enyi mkusanyiko wa Makureshi, ni bora kuliko wale waliotangulia kutajwa miongoni mwa wale walioangamia kwa sababu ya kukanusha kwao? Au nyinyi mmeepushwa na mateso ya Mwenyezi Mungu kwa yaliyomo kwenye Vitabu vilivyoteremshwa kwa Mitume kwa kuwa mtasalimika na mateso?