Al-Qamar 54:54 ان المتقين في جنات ونهر ٥٤
إِنَّ
ٱلۡمُتَّقِينَ
فِي
جَنَّٰتٖ
وَنَهَرٖ
٥٤
Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na mito. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wachamungu watakuwa kwenye mabustani ya Pepo makubwa na mito mipana Siku ya Kiyama.