Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
054

Al-Qamar 54:6 فتول عنهم يوم يدع الداع الى شيء نكر ٦

54:6
فَتَوَلَّ
عَنۡهُمۡۘ
يَوۡمَ
يَدۡعُ
ٱلدَّاعِ
إِلَىٰ
شَيۡءٖ
نُّكُرٍ
٦
Basi jiepushe nao. Siku atakapo ita mwitaji kuliendea jambo linalo chusha; . 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Kwa hivyo, wapuuze, ewe Mtume, na uingojee Siku kubwa, Siku Malaika Atakapoita, kwa kuvuvia kwenye baragumu, kwenye jambo linalotisha linalochukiza, nalo ni Kisimamo cha Hesabu.
Kwa hivyo, wapuuze, ewe Mtume, na uingojee Siku kubwa, Siku Malaika Atakapoita, kwa kuvuvia kwenye baragumu, kwenye jambo linalotisha linalochukiza, n…
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 54, Ukurasa 528, Juzuu 27

1. Saa imekaribia, na mwezi umepasuka! 2. Na wakiona Ishara hugeuka upande na husema: Huu uchawi tu unazidi kuendelea. 3. Na wamekanusha na wamefuata matamanio yao. Na kila jambo ni lenye kuthibiti. 4. Na bila ya shaka zimewajia khabari zenye makaripio. 5. Hikima kaamili; lakini maonyo hayafai kitu! 6. Basi jiepushe nao. Siku atakapo ita mwitaji kuliendea jambo linalo chusha; . 7. Macho yao yatainama; watatoka makaburini kama nzige walio tawanyika! 8. Wanamkimbilia mwitaji, na makafiri wanasema: Hii ni siku ngumu.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia