Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Qamar 54:7

54:7
خشعا ابصارهم يخرجون من الاجداث كانهم جراد منتشر ٧
خُشَّعًا أَبْصَـٰرُهُمْ يَخْرُجُونَ مِنَ ٱلْأَجْدَاثِ كَأَنَّهُمْ جَرَادٌۭ مُّنتَشِرٌۭ ٧
خُشَّعًا
أَبۡصَٰرُهُمۡ
يَخۡرُجُونَ
مِنَ
ٱلۡأَجۡدَاثِ
كَأَنَّهُمۡ
جَرَادٞ
مُّنتَشِرٞ
٧
Macho yao yatainama; watatoka makaburini kama nzige walio tawanyika! 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hali yakuwa macho yao yamedhalilika, wanatoka makaburini kama kwamba wao kwa kuenea kwao na upesi wa kuenda kwenye kuhesabiwa, ni nzige walioenea pambizoni mwa anga,