Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Qasas 28:30

28:30
فلما اتاها نودي من شاطي الواد الايمن في البقعة المباركة من الشجرة ان يا موسى اني انا الله رب العالمين ٣٠
فَلَمَّآ أَتَىٰهَا نُودِىَ مِن شَـٰطِئِ ٱلْوَادِ ٱلْأَيْمَنِ فِى ٱلْبُقْعَةِ ٱلْمُبَـٰرَكَةِ مِنَ ٱلشَّجَرَةِ أَن يَـٰمُوسَىٰٓ إِنِّىٓ أَنَا ٱللَّهُ رَبُّ ٱلْعَـٰلَمِينَ ٣٠
فَلَمَّآ
أَتَىٰهَا
نُودِيَ
مِن
شَٰطِيِٕ
ٱلۡوَادِ
ٱلۡأَيۡمَنِ
فِي
ٱلۡبُقۡعَةِ
ٱلۡمُبَٰرَكَةِ
مِنَ
ٱلشَّجَرَةِ
أَن
يَٰمُوسَىٰٓ
إِنِّيٓ
أَنَا
ٱللَّهُ
رَبُّ
ٱلۡعَٰلَمِينَ
٣٠
Basi alipo ufikia aliitwa kutoka ng'ambo ya bonde la kuliani katika eneo lilio barikiwa kutoka kwenye mti: Ewe Musa! Hakika Mimi ni Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Basi Mūsā alipoujia moto, Mwenyezi Mungu Alimuita kutoka upande wa bonde la mkono wa kulia wa Mūsā, katika ardhi iliyobarikiwa ya upande wa mti kwamba: «Ewe Mūsā! Mimi Ndiye Mwenyezi Mungu, Mola wa viumbe wote,»