Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Qasas 28:4

28:4
ان فرعون علا في الارض وجعل اهلها شيعا يستضعف طايفة منهم يذبح ابناءهم ويستحيي نساءهم انه كان من المفسدين ٤
إِنَّ فِرْعَوْنَ عَلَا فِى ٱلْأَرْضِ وَجَعَلَ أَهْلَهَا شِيَعًۭا يَسْتَضْعِفُ طَآئِفَةًۭ مِّنْهُمْ يُذَبِّحُ أَبْنَآءَهُمْ وَيَسْتَحْىِۦ نِسَآءَهُمْ ۚ إِنَّهُۥ كَانَ مِنَ ٱلْمُفْسِدِينَ ٤
إِنَّ
فِرۡعَوۡنَ
عَلَا
فِي
ٱلۡأَرۡضِ
وَجَعَلَ
أَهۡلَهَا
شِيَعٗا
يَسۡتَضۡعِفُ
طَآئِفَةٗ
مِّنۡهُمۡ
يُذَبِّحُ
أَبۡنَآءَهُمۡ
وَيَسۡتَحۡيِۦ
نِسَآءَهُمۡۚ
إِنَّهُۥ
كَانَ
مِنَ
ٱلۡمُفۡسِدِينَ
٤
Hakika Firauni alitakabari katika nchi, na akawagawa wananchi makundi mbali mbali. Akalidhoofisha taifa moja miongoni mwao, akiwachinja watoto wao wanaume na akiwaacha watoto wao wanawake. Hakika yeye alikuwa katika mafisadi. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hakika Fir’awn alifanya kiburi na akapita mipaka katika nchi, akawafanya watu wake kuwa ni makundi tafauti-tafauti, akawa analinyongesha kundi moja ya hayo, nalo ni lile la Wana wa Isrāīl, akawa anawaua watoto wao wa kiume na anawabakisha wanawake wao kwa kutumika na kudharauliwa, Hakika yeye alikuwa ni miongoni mwa waharibifu katika ardhi.