Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Qasas 28:42

28:42
واتبعناهم في هاذه الدنيا لعنة ويوم القيامة هم من المقبوحين ٤٢
وَأَتْبَعْنَـٰهُمْ فِى هَـٰذِهِ ٱلدُّنْيَا لَعْنَةًۭ ۖ وَيَوْمَ ٱلْقِيَـٰمَةِ هُم مِّنَ ٱلْمَقْبُوحِينَ ٤٢
وَأَتۡبَعۡنَٰهُمۡ
فِي
هَٰذِهِ
ٱلدُّنۡيَا
لَعۡنَةٗۖ
وَيَوۡمَ
ٱلۡقِيَٰمَةِ
هُم
مِّنَ
ٱلۡمَقۡبُوحِينَ
٤٢
Na tukawafuatishia laana katika dunia hii, na Siku ya Kiyama watakuwa miongoni mwa wanao chusha. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na tukamfuatilizia Fir’awn na watu wake laana na hasira kutoka kwetu juu yao. Na Siku ya Kiyama, wao watakuwa ni miongoni mwa wale ambao matendo yao yalikuwa yamechafuka, wale watakaowekwa mbali na rehema ya Mwenyezi Mungu.