Al-Qasas 28:51 ۞ ولقد وصلنا لهم القول لعلهم يتذكرون ٥١
۞ وَلَقَدۡ
وَصَّلۡنَا
لَهُمُ
ٱلۡقَوۡلَ
لَعَلَّهُمۡ
يَتَذَكَّرُونَ
٥١
Na sasa kwa yakini tumewafikishia Neno ili wapate kukumbuka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa hakika, tuliifafanua na kuieleza Qur’ani kwa kuwaonea huruma watu wako, ewe Mtume, huenda wao wakakumbuka na wakawaidhika nayo.