Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Qasas 28:53

28:53
واذا يتلى عليهم قالوا امنا به انه الحق من ربنا انا كنا من قبله مسلمين ٥٣
وَإِذَا يُتْلَىٰ عَلَيْهِمْ قَالُوٓا۟ ءَامَنَّا بِهِۦٓ إِنَّهُ ٱلْحَقُّ مِن رَّبِّنَآ إِنَّا كُنَّا مِن قَبْلِهِۦ مُسْلِمِينَ ٥٣
وَإِذَا
يُتۡلَىٰ
عَلَيۡهِمۡ
قَالُوٓاْ
ءَامَنَّا
بِهِۦٓ
إِنَّهُ
ٱلۡحَقُّ
مِن
رَّبِّنَآ
إِنَّا
كُنَّا
مِن
قَبۡلِهِۦ
مُسۡلِمِينَ
٥٣
Na wanapo somewa wanasema: Tunaiamini. Hakika hii ni Haki inayo toka kwa Mola wetu Mlezi. Hakika sisi kabla yake tulikuwa ni Waislamu, tulio nyenyekea. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na pindi isomwapo hii Qur’ani kwa wale tuliowapa Kitabu wanasema, «Tumeiamini na tumeifuata kivitendo, hiyo ni haki itokayo kwa Mola wetu, hakika sisi tulikuwa, kabla haijateremka, ni Waislamu wenye kumpwekesha, kwani Dini ya Mwenyezi Mungu ni moja, nayo ni Uislamu.»