Al-Qasas 28:69 وربك يعلم ما تكن صدورهم وما يعلنون ٦٩
وَرَبُّكَ
يَعۡلَمُ
مَا
تُكِنُّ
صُدُورُهُمۡ
وَمَا
يُعۡلِنُونَ
٦٩
Na Mola wako Mlezi anayajua yaliyo ficha vifua vyao, na wanayo yatangaza. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Mola wako anayajua yale yanayofichwa na vifua vya waja Wake na yale wanayoyafanya waziwazi.