Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
075

Al-Qiyama 75:36 ايحسب الانسان ان يترك سدى ٣٦

75:36
أَيَحۡسَبُ
ٱلۡإِنسَٰنُ
أَن
يُتۡرَكَ
سُدًى
٣٦
Ati anadhani binaadamu kuwa ataachwa bure? 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Je anadhani huyu binadamu anayekanusha kufufuliwa kuwa ataachwa bure: haamrishwi wala hakatazwi, hahesabiwi wala hateswi?
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 75, Ukurasa 578, Juzuu 29

26. La, hasha! (Roho) itakapo fikia kwenye mafupa ya koo, 27. Na pakasemwa: Nani wa kumganga? 28. Na mwenyewe akajua kwa hakika kuwa huko ndiko kufariki; 29. Na utapo ambatishwa muundi kwa muundi, 30. Siku hiyo ndiyo kuchungwa kupelekwa kwa Mola wako Mlezi! 31. Kwa sababu hakusadiki, wala hakuswali. 32. Bali alikanusha, na akageuka. 33. Kisha akenda kwa ahali zake kwa matao. 34. Ole wako, ole wako! 35. Kisha Ole wako, ole wako! 36. Ati anadhani binaadamu kuwa ataachwa bure? 37. Kwani hakuwa yeye tone ya manii lilio shushwa? 38. Kisha akawa kidonge cha damu, tena Mwenyezi Mungu akamuumba na akamtengeneza vilivyo. 39. Kisha akamfanya namna mbili, mwanamume na mwanamke. 40. Je! Huyo hakuwa ni Muweza wa kufufua wafu?

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia