Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
056

Al-Waqiah 56:53 فماليون منها البطون ٥٣

56:53
فَمَالِـُٔونَ
مِنۡهَا
ٱلۡبُطُونَ
٥٣
Na kwa mti huo mtajaza matumbo. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

nao ni katika miti mibaya zaidi, na ni wenye kujaza matumbo yenu kutokana nao kwa sababu ya ukali wa njaa,
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 56, Ukurasa 536, Juzuu 27

41. Na watu wa kushotoni; je ni yepi ya wa kushotoni? 42. Katika upepo wa moto, na maji yanayo chemka, 43. Na kivuli cha moshi mweusi, 44. Si cha kuburudisha wala kustarehesha. 45. Hakika hao walikuwa kabla ya haya wakiishi maisha ya anasa. 46. Na walikuwa wakishikilia kufanya madhambi makubwa, 47. Na walikuwa wakisema: Tutakapo kufa na tukawa udongo na mafupa, ati ndio tutafufuliwa? 48. Au baba zetu wa zamani? 49. Sema: Hakika wa zamani na wa mwisho 50. Bila ya shaka watakusanywa kwa wakati wa siku maalumu. 51. Kisha nyinyi, mlio potea, mnao kanusha, 52. Kwa yakini mtakula mti wa Zaqqumu. 53. Na kwa mti huo mtajaza matumbo. 54. Na juu yake mtakunywa maji yanayo chemka. 55. Tena mtakunywa kama wanavyo kunywa ngamia wenye kiu. 56. Hiyo ndiyo karamu yao Siku ya Malipo.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia