Al-Waqiah 56:56 هاذا نزلهم يوم الدين ٥٦
هَٰذَا
نُزُلُهُمۡ
يَوۡمَ
ٱلدِّينِ
٥٦
Hiyo ndiyo karamu yao Siku ya Malipo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Adhabu hii watakayoipata ndiyo zawadi Aliyowaandalia Siku ya Kiyama. Katika haya kuna kuwalaumu na kuwacheza shere.