Al-Waqiah 56:75 ۞ فلا اقسم بمواقع النجوم ٧٥
۞ فَلَآ
أُقۡسِمُ
بِمَوَٰقِعِ
ٱلنُّجُومِ
٧٥
Basi naapa kwa maanguko ya nyota, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu Anaapa kwa mapomoko ya nyota nyakati za kuzama kwake mbinguni.