Al-Waqiah 56:78 في كتاب مكنون ٧٨
فِي
كِتَٰبٖ
مَّكۡنُونٖ
٧٨
Katika Kitabu kilicho hifadhiwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
iliyo ndani ya Kitabu kilichohifadhiwa, kilichofichwa na macho ya viumbe, nacho ni Kitabu ambacho kiko mikononi mwa Malaika.