Al-Waqiah 56:91 فسلام لك من اصحاب اليمين ٩١
فَسَلَٰمٞ
لَّكَ
مِنۡ
أَصۡحَٰبِ
ٱلۡيَمِينِ
٩١
Basi ni Salamu kwako uliye miongoni mwa watu wa upande wa kulia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
ataambiwa, «Umesalimika na kuwa kwenye amani, kwa kuwa wewe ni miongoni mwa watu wa upande wa kulia.»