Alam-Nashrah 94:5 فان مع العسر يسرا ٥
فَإِنَّ
مَعَ
ٱلۡعُسۡرِ
يُسۡرًا
٥
Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Usirudi nyuma katika kueneza ujumbe uliotumwa nao kwa makero ya maadui zako. Kwani kwenye dhiki kuna faraji.