Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Alam-Nashrah 94:7

94:7
فاذا فرغت فانصب ٧
فَإِذَا فَرَغْتَ فَٱنصَبْ ٧
فَإِذَا
فَرَغۡتَ
فَٱنصَبۡ
٧
Na ukipata faragha, fanya juhudi. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Basi utakapomaliza mambo ya kidunia na shughuli zake jipinde kwa kufanya ibada.