An-Nabaa 78:20 وسيرت الجبال فكانت سرابا ٢٠
وَسُيِّرَتِ
ٱلۡجِبَالُ
فَكَانَتۡ
سَرَابًا
٢٠
Na milima itaondolewa na itakuwa kama sarabi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na yakalipuliwa majabali baada ya kuwa yamekita, yakawa ni kama mangati.