An-Nabaa 78:25 الا حميما وغساقا ٢٥
إِلَّا
حَمِيمٗا
وَغَسَّاقٗا
٢٥
Ila maji yamoto sana na usaha, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wala kinywaji kitakachowaondolea kiu yao. Isipokuwa maji moto na usaha wa watu wa motoni.