An-Nabaa 78:27 انهم كانوا لا يرجون حسابا ٢٧
إِنَّهُمۡ
كَانُواْ
لَا
يَرۡجُونَ
حِسَابٗا
٢٧
Hakika hao hawakuwa wakitaraji kuwa kuna hisabu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wao walikuwa hawaiyogopi Siku ya Hesabu, na kwa hivyo hawakujitayarisha nayo kwa kufanya matendo ya kuwafaa.