An-Nabaa 78:29 وكل شيء احصيناه كتابا ٢٩
وَكُلَّ
شَيۡءٍ
أَحۡصَيۡنَٰهُ
كِتَٰبٗا
٢٩
Na kila kitu Sisi tumekidhibiti kwa kukiandika. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kila kitu Tulikijua na Tukakiandika katika Ubao uliohifadhiwa (Al-Lawḥ Al-Maḥfūd).