An-Nabaa 78:36 جزاء من ربك عطاء حسابا ٣٦
جَزَآءٗ
مِّن
رَّبِّكَ
عَطَآءً
حِسَابٗا
٣٦
Malipo kutoka kwa Mola wako Mlezi, kipawa cha kutosha. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Watayapata yote hayo yakiwa ni malipo na zawadi na kipewa kingi cha kuwatosha kutoka kwa Mwenyezi Mungu,