An-Nabaa 78:9 وجعلنا نومكم سباتا ٩
وَجَعَلۡنَا
نَوۡمَكُمۡ
سُبَاتٗا
٩
Na tukakufanya kulala kwenu ni mapumziko? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Tukafanya usingizi wenu ni mapumziko kwa viwiliwili vyenu: ndani yake mnatulia na kupumzika?