An-Nahl 16:20 والذين يدعون من دون الله لا يخلقون شييا وهم يخلقون ٢٠
وَٱلَّذِينَ
يَدۡعُونَ
مِن
دُونِ
ٱللَّهِ
لَا
يَخۡلُقُونَ
شَيۡـٔٗا
وَهُمۡ
يُخۡلَقُونَ
٢٠
Na wale wanao waomba wasio kuwa Mwenyezi Mungu hawaumbi kitu,bali wao wameumbwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wale waungu ambao washirikina wanawaabudu hawaumbi chochote hata kama ni kidogo vipi. Hao ni viumbe ambazo washirikina wamevitengeneza kwa mikono yao. Vipi basi wataviabudu?
Na wale waungu ambao washirikina wanawaabudu hawaumbi chochote hata kama ni kidogo vipi. Hao ni viumbe ambazo washirikina wamevitengeneza kwa mikono y…