Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: An-Nahl 16:5

16:5
والانعام خلقها لكم فيها دفء ومنافع ومنها تاكلون ٥
وَٱلْأَنْعَـٰمَ خَلَقَهَا ۗ لَكُمْ فِيهَا دِفْءٌۭ وَمَنَـٰفِعُ وَمِنْهَا تَأْكُلُونَ ٥
وَٱلۡأَنۡعَٰمَ
خَلَقَهَاۖ
لَكُمۡ
فِيهَا
دِفۡءٞ
وَمَنَٰفِعُ
وَمِنۡهَا
تَأۡكُلُونَ
٥
Na nyama hoa amekuumbieni. Katika hao mna vifaa vya kutia joto,na manufaa mengineyo, na baadhi yao mnawala. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na wanyama miongoni mwa ngamia, ng’ombe na mbuzi, Mwenyezi Mungu Amewaumbia, enyi watu, na akajaalia joto katika sufi na manyoa yake, na manufaa mengine katika maziwa yake na ngozi zake na kuwatumia kwa kuwapanda na, wengine miongoni mwao, kuwala.