Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: An-Nahl 16:73

16:73
ويعبدون من دون الله ما لا يملك لهم رزقا من السماوات والارض شييا ولا يستطيعون ٧٣
وَيَعْبُدُونَ مِن دُونِ ٱللَّهِ مَا لَا يَمْلِكُ لَهُمْ رِزْقًۭا مِّنَ ٱلسَّمَـٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ شَيْـًۭٔا وَلَا يَسْتَطِيعُونَ ٧٣
وَيَعۡبُدُونَ
مِن
دُونِ
ٱللَّهِ
مَا
لَا
يَمۡلِكُ
لَهُمۡ
رِزۡقٗا
مِّنَ
ٱلسَّمَٰوَٰتِ
وَٱلۡأَرۡضِ
شَيۡـٔٗا
وَلَا
يَسۡتَطِيعُونَ
٧٣
Na badala ya Mwenyezi Mungu wanawaabudu wasio wamilikia riziki kutoka mbinguni wala kwenye ardhi, wala hawawezi kitu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na washirikina wanaabudu masanamu ambayo hayana mamlaka ya kuwapa riziki itokayo mbinguni kama mvua wala itokayo ardhini kama mazao. Wao hawamiliki kitu chochote wala hapana uezekano wowote kwa wao kukimiliki, kwani wao hawawezi.